Jumamosi, 23 Desemba 2017

MATOKEO YA MECHI ZA LEO KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM

  
 
Michuano ya Kombe la Shirikisho ya Azam Sports, imeendelea leo na timu kadhaa zimekutana na vipigo.

Matokeo ya mechi za leo yako namba hii…
Stand 3-0 AFC Arusha
Polisi Dar 5-0 Mgambo
Kariakoo Lindi 6-5 Transit Camp
Singida 2-0 Bodaboda
Biashara Mara 1-0 Mawenzi Market


Hakuna maoni: