Jumamosi, 9 Desemba 2017

LIVE KUTOKA DODOMA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU


 Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika?).

- Sherehe za kumbukumbu hizi zinafanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


- Sherehe hizi zinaadhimishwa huku kukiwa na simanzi kitaifa kufuatia askari wetu wanaolinda amani DRC kuuawa na wengine kujeruhiwa vibaya kufuatia shambulizi lililofanywa na waasi.


Fuatilia Thread Hii kwa Updates na hapa chini ni LIVE video


Hakuna maoni: