Jumatano, 6 Desemba 2017

KUTOKA IKULU,RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE LEO




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi bodi sita na taasisi za serikali baada ya wenyeviti waliokuwepo muda wao kuisha.




Hakuna maoni: