Jumapili, 31 Desemba 2017

KUBENEA: CCM ILITENGA BILIONI TANO KWA AJILI YA KUNUNUA WAPINZANI





Mbunge wa Jimbo la ubungo kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Saeid Kubenea amesema katika sakata la ununuzi wa wabunge na madiwani kama njegere sokoni, serikali ya CCM ilitenga kiasi cha shilingi bilioni tano (5) kwa ajili ya suala hilo, lkn mpaka kufikia December 18 kiasi cha shilingi milioni mia sita na hamsini (650) ndo kilichokuwa kimetumika, ambapo katika waliolipwa na kuingiziwa fedha chafu katika akaunti zao ni aliye kuwa mbunge wa Jimbo la SIHA Dkt Godwin Mollel na Mbunge wa Kinondoni ndg Maulid Mtulia. 




Hakuna maoni: