Kamanda wa jeshi la Israel alieonekana katika operesheni ya kusambaratisha waandanaji el Halil Palestina akiiba matunda « aple » amesimamishwa kazi kwa muda.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya jeshi kuthibitisha tukio hilo.
Wauza matunda katika Ukingo wa Magharibi walilazimika kuondoka katika vibanda vyoa wakikimbia ghasia ndipo kamanda huyo alionekana kuiba matunda.
Video inayomuonesha kamanda huyo akiiba matunda imezagaa katika mitandao ya kijamii.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni