Jumapili, 24 Desemba 2017

Full VIDEO: Mapokezi Miss World akitua Airport

Kwa mara ya kwanza Tanzania ya jivunia kwa kulipata taji la miss world university peace ambapo taji hilo limetwa na QUEEN ELIZABETH MAKUNE. ambapo amepokelewa leo kutokea Cambodia. Miss huyo amewaasa wenzake kujiamini ili kufikia ndoto zao.

kwa upande wa serikali katibu mtendaji wa BASATA Bw. Godfrey Muingereza kwaniamba ya waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Dkt. Dk. Harison Mwakyembe amesema taji hilo limeleta sifa kubwa sio kwa miss pekee yake bali ni kwa Taifa na serikali inaandaa mazingira mazuri kwa wasanii na sanaa iwezekupata hadhi na nafasi yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE




Hakuna maoni: