Jumanne, 14 Novemba 2017

VIDEO: Meli kubwa yenye madaktari 300 kutoka China kutoa tiba bure

Inakumbukwa mwaka huu wakati wa zoezi la matibabu ya bure yanaendelea jijini Dar es salaam aliyekuwa balozi wa Tanzania kutoka China aliahidi kushilikiana na Tanzania  katika nyanja za afya, Hivyo kuanzia tarehe 19 mwaka huu timu ya madaktari 300 watatoa huduma za matibabu bure.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO......... CHINI USISAHAU KUSUBSCRIBE 



Hakuna maoni: