Jumanne, 14 Novemba 2017

VIDEO: Madaktari bingwa kutoa huduma ya upasuaji moyo bure

Madaktari bingwa kutoka Saudi Arabia wanarajia kutoa huduma ya upasuaji mishipa ya moyo bure kuanzia Novemba 15 hadi 19 mwaka huu katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Jakaya Kikwete.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI... USISAHAU KUSUBSCRIBE



Hakuna maoni: