Jumanne, 28 Novemba 2017

VIDEO: Duma kuachia filamu mpya na Irene Uwoya

Msanii wa Filamu nchini Tanzania, Daud Michael 'Duma' ametangaza ujio wa Filamu mpya inayoitwa From Nigeria ambayo imeandaliwa na Kampuni yake mwenyewe huku ikishirikisha mastaa kibao akiwemo, Irene Uwoya, Rado, Richie Richie na Tea.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE





Hakuna maoni: