Ijumaa, 10 Novemba 2017

UCHUMI WA TANZANIA: HUSSEN BASHE AFAFANUA MWENENDO WA UCHUMI NCHINI

Nimemsikiliza kwa makini sana Hussein Bashe kwa uchambuzi mzuri alioufanya kuhusu trend ya uchumi hapa nchini, inasikitisha sana tena sana. sasa nikajiuliza Hivi ingekuwaje maneno haya angeongea Zitto Kabwe?

VIDEO:




Hakuna maoni: