Alhamisi, 9 Novemba 2017

TUNAUZA MBEGU BORA ZA MIHOGO

Habari njema kwa wakulima wa Mhugo unaweza kupata mbegu bora za Muhogo, Ushauri wa Kilimo bora cha zao la Muhogo kibiashara, Usimamizi wa mashamba, Farm (management) kupitia Mwenkale family group investment.


Mbegu zimethibitishwa na mamlaka ya uthibiti ubora wa Mbegu Tanzania (Tosci)  Aina  ya MBEGU kiroba mbegu imeandaliwa kulingana na sheria ya uzalishaji mbegu  ya mwaka 2003 hivyo mbegu  zipo kisheria sifa na ubora wa Mbegu

1. Inastahimili ukame
2. Inastahimili Magonjwa ya Muhogo kama vile  Batobato &Michirizi ya kahawia
3. Mauzo zaidi  na kukuza kipato
4. Idadi sawa ya mimea iliyopandwa na ukomavu
5. Inauchipuaji na ukuaji wa nataka
6. Chanzo kinachojulikana na chenye kiwango bora
7. Inachukua miezi 6-7 ukomaaji  8inaweza kuzaa Tani 9-12 na zaidi  pia inategemeana na maandalizi yako ya shamba.


Tunapatikana maeneo yafuatayo Mtwara, Lindi, Dar, na Pwani. kwa mahitaji ya Mbegu ushauri wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo 0674562237 / 0622971431  Wote  mnakaribishwa.


Hakuna maoni: