Jumanne, 28 Novemba 2017

Sikiliza wimbo mpya wa Diamond alioimba kuhusu wapenzi wake

Msanii Diamond Platinumz ambaye amepata mafanikio makubwa sana kupitia kazi zake za muziki anazozifanya, amekuja na kibao kipya ambacho ameimba kuhusu mpenzi wake.Kibao kimepewa jina ‘Sikomi’.



Hakuna maoni: