Rais Magufuli Akutana Na Rais Wa Zanzibar Dkt. Shein Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo - WWW.ZAKABOY.COM
Jumatano, 22 Novemba 2017
Rais Magufuli Akutana Na Rais Wa Zanzibar Dkt. Shein Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2017-PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni