Alhamisi, 16 Novemba 2017

PICHA:RAIS ROBERT MUGABE AKUTANA NA MKUU WA JESHI NA KUONGEA NAYE

Rais Mugabe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi pamoja na ujumbe kutoka nchini Afrika Kusini, katika makazi yake Harare.



Hakuna maoni: