Jumamosi, 25 Novemba 2017

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA



Ligi kuu ya Vodacom Tanzani Baar imeendelea tena leo Jumamosi Novemba 25, 2017 mzunguko wa 11.

Mechi tano zimechezwa leo ambapo matokeo ya mechi zote ni yafuatayo

1.Yanga 1-1 Prisons
2.Singida Ubited 2-1 Mbeya City
3.MBao Fc 1-0 Mwadui Fc 
4.Kagera Sugar 0-0 Stand United
5.Ruvu Shooting 2-1 Majimaji Fc 

Ligi hiyi itaendelea tena hapo kesho Jumapili mechi kati ya Simba dhidi ya Lipuli Fc na kesho kutwaJumatatu kutakuwa na  mechi kati ya Azam Fc dhidi ya Mtibwa Sugar ya kukamilisha mzunguko wa 11.


Hakuna maoni: