Jeshi la ushirika linaloongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen liafahamisha kuwa makombora yanayotumiwa na wanamgambo wa Houthis kutoka nchini Iran ni tishio kwa Saudi Arabia.
Saudi Arabia imefahamisha kuwa kitendo hicho cha Iran kwa wanamgambo wa Houthis ni tishio la moja kwa moja linalolenga ardhi ya Saudi Arabia.
Tangazo lillotolewa na kituo cha habari cha Saudi Arabia limefahamisha kuuwa Riyadh inajaribu kuheshimu sheria ya kimataifa kuiijibu serikali ya Iran kufuatia kitendo hicho.
Tangazo hilo limetolewa siku mbili baada ya kuzuia makombora yaliorushwa na kundi la Ansar Allah katika uwanja wa ndege wa Riyadh.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni