Thabani Kamusoko sasa uhakika ataungana na wenzake na kuanza mazoezi kesho.
Kamusoko alikuwa majeruhi kwa zaidi ya wiki moja na leo alihudhuria mazoezi ya Yanga.
Kamusoko alikuwa katika mazoezi ya Yanga kwenye Uwanja wa Uhuru lakini hakufanya mazoezi.
“Ataanza kesho pamoja na wenzake,” alisema Maneja wa Yanga, Hafidh Saleh.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni