Taarifa za hivi punde zinasema kuwa rais wa Zimbabwe, Bw. Robert Gabriel Mugabe, kajiuzulu urais.
Katika dakika chache zilizopita , spika wa bunge la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu .
Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo. harakati za kumuondoa madarakani rais huyo kupitia bunge kumesitishwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni