Wakati bado haijafahamika kama ni kweli Zari ameachana na Diamond, leo hii mrembo huyo ametua nchini ikiwa ni mara ya kwanza tangu sakati lake na mzazi mwenzake Diamond litokee amekua Afrika kusini.
Aidha kumekuwa na maneno yanaandikwa na kujidili juu ya wapenzi hawa kwenye mitandao ya kijamii kwa kipindi chote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni