Jumatano, 4 Oktoba 2017

VIDEO: NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 Tanzania bara, Uchaguzi utafanyika tarehe 26 Novemba, mwaka huu.


Hakuna maoni: