Jumatano, 4 Oktoba 2017

SIMBA IMEIBUKA NA USHINDI KWENYE MCHEO WA KIRAFIKI DHIDI YA DODOMA FC

Leo Oktoba 04,2017 umechezwa mchezo wa kirafiki kati ya Dodoma Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza na Simba sc inayoshiriki ligi kuu bara.

mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma umemalizika kwa Simba kupata ushindi wa Goli moja lililofungwa na Said Ndemla.

Dodoma Fc 0-1 Simba




Hakuna maoni: