Jumapili, 29 Oktoba 2017

Roboti apewa uraia Saudi Arabia

Roboti aliepewa jina la Sophia apewa uraia nchini Saudi Arabia. kwa mujibu wa mtandao wa turkey imeeleza kuwa ni kwa mara ya kwanza ulimwenguni roboti kupewa uraia.

Hakuna maoni: