Jumatano, 18 Oktoba 2017

Odinga aitisha maandamano siku ya uchaguzi wa marudio

Kinara wa upinzanik nchini Kenya Raila Odinga ameitisha maandamano ya nchi nzima siku ya zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi wa rais wa Marudio uliopangwa kufanyika Octoba 26.

Odinga anasema siku hiyo hakutakuwa na uchaguzi kwa kile alichosema ni tume ya uchaguzi IEBC kushindwa kufanya mabadiliko yanayotakiwa kama ilivyoagizwa na mahakama ya juu.

Hakuna maoni: