Jumatano, 18 Oktoba 2017

KWA WAKAZI WA DAR NUNUA FRIJI HIZI MPYAAA UPATE USAFIRI BUREEE

 Bongo Deco ni duka la vifaa vya umeme kama TV, Home Theater, Friji aina mbalimbali na vingine vingi. Wapo Dar Es Salaam Magomeni Mapipa mtaa wa Idrissa. Kila bidhaa yao ina warranty na kikubwa zaidi ukinunua bidhaa kwao utapata usafiri bure hadi kwako. Wapigie 0658 18 47 97 au wafollow katika page yao ya Instagram @Bongodeco kuona bidhaa zao zote picha na bei ya kila friji.

Kupitia Bongo Deco unaweza pata friji kutoka makampuni ya Beko, Boss, Von HotPoint, Lg, MoElectro na mengine mengi.

Zifuatazo ni bei za friji na picha zake








  Hizi ni baadhi ya Friji zikiwa zmewafikia wateja wetu.



Hakuna maoni: