Jumapili, 22 Oktoba 2017

Barcelona yaipiga Malaga 2-0

Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka kiungo wa Malaga, Esteban Rolon katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 2-0 mabao ya Gerard Deulofeu dakika ya pili na Andres Iniesta dakika ya 56.

Hakuna maoni: