Jumanne, 19 Septemba 2017

JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA TEF LAPINGA HATUA YA SERIKALI KULIFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) lapinga hatua ya Serikali kulifungia gazeti la MWANAHALISI. Lapanga kujadili hatua za kuchukua.



Hakuna maoni: