Habari tulizozipokea hivi punde zinasema Mtangazaji wa muda mrefu wa Radio Free Africa, Zuberi Msabaha amefariki dunia jijini Mwanza.
Zuberi Msabaha alikuwa ameugua kwa muda mrefu. Msiba upo Mabatini jijini Mwanza na mazishi yatafanyika leo
Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.
R.I.P Zuberi Msabaha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni