Jumanne, 16 Januari 2018

Listi ya vilabu tajiri zaidi Duniani

List ya vilabu 20 vya soka vyenye utajiri mkubwa duniani, list inaweza ikawashangaza baadhi ya watu lakini ukweli utajiri wa vilabu hivi umepimwa kwa kutumia vigezo  mbalimbali na sio matokeo ya uwanjani.

 TOP 20 ya vilabu tajiri duniani imetangazwa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali ikiwemo thamani za wachezaji wa timu inayowamiliki, assets, kiasi cha pesa club ilichonacho benki na wawekezaji.





Hakuna maoni: