Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta , Leo January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni