Jumanne, 9 Januari 2018

BREAKING NEWS; Hassanal ajivua uanachama


Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Bodi ya wadhamini ambaye pia ni mshauri wa Mameya Dar es salaam Muslim Hassanal amejivua Uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.

Hakuna maoni: