Vijana 43 wameanza kambi ya wiki mbili itakayomalizika Januari 21, 2018 kambi hiyo ni maandalizi ya timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys, kambi hiyo ipo kwenye hostel zilizopo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Karume, Ilala Dar es Salaam.
Jumatano, 10 Januari 2018
43 WAINGIA KAMBINI MAANDALIZI YA SERENGETI BOYS
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni