Ijumaa, 15 Desemba 2017

VIDEO: Mbunge Chadema awataja wanaoliingiza Taifa hasara

Mbunge wa Viti Maalum wa Chadema, Upendo Peneza amesema hana sababu za kuhama chama hicho kikuu cha upinzani nchini huku akiwashangaa wanaochukua uamuzi huo.

Aidha mbunge Peneza aliwaomba watanzania kuona namna fedha ya Tanzania inavyochezewa kwa kila siku wabunge na madiwani wakihama kutoka chama kimoja kwenda kingine, hivyo kuliingiza taifa hasara kwa kuandaa chaguzi nyingine.

Huku wale waliohama chama wakipewa nafasi ya kugombea nyazifa, ''kwahiyo ni mchezo mchafu wanaochewa watanzania'' alisema

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......UUSISAHAU KUSUBSCRIBE



Hakuna maoni: