Jumatatu, 25 Desemba 2017

MWENYEKITI WACCM MKOAWA SINGIDA APATA AJALI AKIWA NA FAMILIA YAKE

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.


Hakuna maoni: