MWANAMKE mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Asha Mashaka amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo jana Ijumaa, Desemba 22, 2017.
Bi. Asha amejifungua kwa Opareshini na sasa yeye pamoja na watoto wake hao wanaendela vizuri hospitalini hapo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni