Jumamosi, 16 Desemba 2017

MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU AKUTWA NA UJAUZITO WA MIEZI MINNE



Mwanafunzi wa darasa la tatu katika kijiji cha Amani makolo wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma amegundulika kuwa na ujauzito wa miezi minne.

Binti huyo aliyefahamika kwa jina la Sabina Simon Nombo amepata ujauzito huo baada ya kubakwa  njiani alipokuwa akirudi nyumbani kwao akitokea kanisani.


Hakuna maoni: