Katika kuhakikisha utalii unaimarika kwenye hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro(KINAPA) ofisi ya Mbunge wa vunjo kwa kushirikiana na wakazi wa kata 16 wa jimbo hilo pamoja na wadau mbalimbali wanatarajia kukarabati barabara zenye urefu wa zaidi ya kilometa 270 kwenye makazi ya watu kando kando ya mlima huo.
Katika taarifa ya Mbunge wa jimbo la vunjo James Mbatia iliyosomwa na msaidizi wake Danielson Shayo baada ya familiya ya mbunge huyo kus huka toka mlima Kilimanjaro kupitia lango la marangu wilayani Moshi,am ,esema mradi huo wa maendeleo ya miundombinu endelevu kutakaonuf aisha kata 16,utagharimu zaidi ya shilingi Bilioni saba
Amesema mradi huo umeibuliwa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Moshi kwa kushirikiana na ofisi ya mbug e wa jimbo hilo kwa lengo la kuimarish a miundombinu ya barabara kwaajili utalii,pia kuhamasisha maen deleo kwa wananchi kupitia rasilimali zao ikiwemo kukodisha nyumba kwa wa geni wanaokuja kupanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya washiriki walisyoshuka kwenye mlima huo ,ikiwemo familia ya Mbunge huyo,licha ya kuipongeza mamlaka ya hifadhi ya Kinapa kwa kuboresha miundombinu ikiwemo vyoo bora, wameishauri jamii kutotegemea wageni kuja kutembelea vivutio vilivyomo nchini bali, hamasa ianzie katika ngazi ya familia.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni