Jumamosi, 23 Desemba 2017

IDADI YA WANAJESHI WA TANZANIA WALAIOUAWA CONGO YAONGEZEKA


Mwanajeshi mmoja wa Tanzania ambaye ni miongoni mwa waliojeruhiwa katika shambulio la Disemba 7 nchini DRC amefariki dunia akipatiwa matibabu Uganda. Kifo hicho kimefanya idadi ya wanajeshi waliofariki kwenye shambulio hilo kufikia 15.
 



Hakuna maoni: