Jumanne, 21 Novemba 2017

Wizkid anatarajia kupata mtoto

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ni meneja wake wanatarajia kupata mtoto wa kiume.

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ni meneja wake wanatarajia kupata mtoto wa kiume.

Kwa mujibu wa chanzo cha karibu cha wawili hao, kimeeleza kuwa licha ya kujaribu kuficha mahusiano yao ila Wiz na Jada Pollock wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni.

Mrembo Jada Pollock, ni moja ya meneja waa Wizkid wenye nguvu kati ya mameneja wake watatu ambao ni Sunday Are, Dumi Oburota and Jada Pollock.

Hakuna maoni: