Jumanne, 7 Novemba 2017

Watu zaidi ya 3 500 waondolewa mjini Moscow kufuatia tahadhari ya bomu iliotolewa

Watu zaidi ya 3 500 waondolewa katika jumba la maigizo la Bolchoi mjini Moscow, kituo cha biashara na hoteli ya Metropol mjini Moscow  baada ya ilani ya bomu kutolewa.

Ilani hiyo ya bomu iliotolewa imesababisha ghufu kubwa kwa raia walikuwa katika maeneo hayo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kikosi cha usalama ni kuwa mtu mmoja alitoa taarifa za kuwepo kwa bomu bila ya kutoa taarifa kamili.

Baada ya taarifa hiyo kutolewa watu 3 500 waliondolewa  katika maeneo hayo kuhufia tahadhari ya bomu iliotolewa.

Tahadhari ya bomu katika maeneo zaidi ya 20 ilitolewa  mjini Moscow.

Hakuna maoni: