Jumapili, 5 Novemba 2017

VIDEO: Wajumbe Kamati kuu ACT waitwa Polisi

Chama cha ACT Wazalendo kimepokea wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI) wa kuwataka Wajumbe wote wa Kamati Kuu wafike Kituo cha Makosa ya Fedha (Financial Crime Unit) kilichopo Maeneo ya Kamata, Kariakoo Jijini Dar es salaaam kwa ajili ya mahojiano siku ya Jumatatu, novemba 6,mwaka huu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE




Hakuna maoni: