VIDEO: Spika Ndugai aitaka Serikali kutoa maelezo kuhusu mikopo ya wanafunzi - WWW.ZAKABOY.COM
Jumanne, 7 Novemba 2017
VIDEO: Spika Ndugai aitaka Serikali kutoa maelezo kuhusu mikopo ya wanafunzi
Spika wa Bunge Job Ndugai ameitaka Serikali kutoa maelezo bungeni leo jumatano ya Novemba 8 baada ya kipindi cha maswali na majibu kuhusu suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kutakiwa walipe pesa kwanza chuoni halafu ndo waruhusiwe kusaini fomu za kuingiziwa fedha zao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni