Jumatano, 8 Novemba 2017

VIDEO: Shahidi akwamisha kesi ya Halima Mdee

Kesi ya kumtolea lugha ya matusi Rais John Pombe Magufuli inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee (39), Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi hiyo December 7, 2017.

Wakili wa Serikali, Leonard Challo leo Jumatano Novemba 8,2017 amemueleza Hakimu Mkazi Mwandamizi, Victoria Nongwa kuwa kesi hiyo ilipaswa kuanza kusikilizwa lakini  shahidi waliyemtarajia ameanza likizo na amesafiri.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI........ USISAHAU KUSUBSCRIBE 



Hakuna maoni: