Mtazame Rais Magufuli akikimbia mchakamchaka wilayani Karagwe. Karagwe iko ndani ya Mkoa wa Kagera, Mkoa ambao Rais Magufuli alipiga 'pushup' wakati wa kampeni za uchaguzi 2015.
Katika eneo lilelile alilopiga 'push -up', leo Rais @MagufuliJP ameonesha uwezo wa kukimbia mchakamchaka.#MagufuliKagera http://pic.twitter.com/TJMZo7dEaa— AzamTV (@azamtvtz) November 7, 2017
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni