Jumatatu, 13 Novemba 2017

VIDEO: Hukumu ya Lulu Full Video

Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemhukumu kwenda jela miaka miwili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael (Lulu) ambaye alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI.... USISAHAU KUSUBSCRIBE



Hakuna maoni: