Jumamosi, 4 Novemba 2017

UPANDE WA PILI WA JPM

Mara nyingi tunapomtazama Rais Magufuli huwa anakua kwenye sura ya kazi akiwa kwenye ziara au kwenye hotuba ila leo tumeonyeshwa upande wake mwingine, kakaa juu ya mkeka akipiga stori na Mama yake mzazi (kushoto) na Dada yake Monica (kulia) mtazame kwenye hapa chini










Hakuna maoni: