Jumanne, 28 Novemba 2017

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI, MTILAH BLOG

 
Mkurugenzi wa Mtilah Blog anawatangazazia nafazi zifuatazo za kazi.

1.Marketing Manager(Afisa Masoko na mshauri)

2.Video and photo editor
-Awe mtaalamu wa kushoot na kuedit video,picha.

3.Online Tv presenter (Mtangazaji wa Tv)
-Hapa kinachoangaliwa ni kipaji na ufahamu wa mambo.
 
4.Blog Publisher(Kuweka habari kwenye Blog)
  -Awe anaweza kutumia kompyuta na kuandaa habari.




Tuma maombi yako kupitia Whatsapp namba 0658303252.Kama ni presenter tuma clip fupi uliyojirekodi namana unavyoweza kupreset,Video editor pia utatuma clips ulizowahi kuedit.

Mwisho wa maombi ni tarehe 30,Novemba 2017.


Imetolewa na Karim Mtila
Mkurugenzi,Mtilah Blog (www.mtilah.com)


Hakuna maoni: