Jumatatu, 27 Novemba 2017

TANESCO yatekeleza agizo la Rais Magufuli..... Yaanza kubomoa jengo lake kwa Hiari

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza hatua ya ubomoaji kwenye sehemu ya jengo lake kama utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli  alilotoa mwanzoni mwa mwezi huu ili kupisha ujenzi wa daraja la juu la ubungo.

Soma taarifa iliyotolewa na Tanesco kwa Vyombo vya Habari leo Novemba 27, 2017.



Hakuna maoni: