Jumanne, 21 Novemba 2017

RAIS MAGUFULI AMEMTEUA EDWIN RUTAGERUKA KUWA MKURUGENZI TANTRADE

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw. Edwin Novath Rutageruka kuwa Mkurugenzi wa TANTRADE.




Hakuna maoni: