Kutoka Manchester hadi London ni mwendo wa saa mbili na dakika 5 hadi 15 na kilichowaplekeka ni shughuli ya leo.
Man United wan a kazi darajani, yaani Stamford Bridge watakapowavaa wakali Chelsea.
Kazi haitakuwa rahisi na Manchester lazima washinde kuhakikisha hakuna pengo kubwa kati yao na Manchester City ambao wameishaanza kuwaacha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni