Ligi kuu ya Vodacom inaendelea tena leo jumapili Novemba 26,2017 kwa mchezo mmoja pale uwanja wa Uhuru,mchezo kati ya Simba na Lipuli Fc.
Hap chini ni kikosi cha Simba kitachoingia kwenye mchezo huo
1.Aishi Manula
2.Erasto Nyoni
3.Mohamed Hussen "Tshabalala"
4.James Kotei
Yusuph Mlipili
Jonas Mkude
Shiza Kichuya
Mzamiru Yassin
John Bocco
Mwinyi Kazimoto
Haruna Niyonzima
SUB
Emanuel Mseja
Ally shomari
Jamal Mwambeleko
Method Mwanjali
Nicholas Gyan
Laudit Mavugo
Juma Luizio
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni